• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mhe.Okash atoa wiki mbili kwa wafugaji kuondoka kwa wakulima

Imewekwa: June 14th, 2023


Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Halima Okash ametoa siku 14 na kuwataka Wafugaji wa Kata ya Msoga kuondoka na kutofanya Shughuli za Ufugaji katika maeneo ya Wakulima na kuahidi kuanza kufanya operesheni maalum ya kutokomeza migogoro ya wakulima na Wafugaji.

Ameyasema hayo hii leo katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kata ya Msoga wakati wa muendelezo wa Ziara yake ya Kata kwa Kata.

“Nawapa wiki mbili Wafugaji wote wa Kata hii wanaolisha na kufanya shughuli za ufugaji katika maeneo ya wakulima waondoke katika maeneo hayo maramoja pamoja na hiyo ninapiga Marufuku uzururaji holela wa wa mifugo kwani ni huwezi kufanya shamba la Mkulima malisho ya Mifugo yako kwani hiyo inachangia kutia hasara na pia kwa mfugaji ambaye atakaidi mifugo yake itakayokamatwa itachinjwa na nyama zitagawiwa mashuleni.”Amesema Mhe.Okash.

Aidha Mhe. Okash amewataka Wakulima kutofanya shughuli za Kilimo katika maeneo yaliopangwa kwaajili ya wafugaji kwani pia kwa mkulima atakayeingilia maeneo ya Wafugaji hatua za Kisheria zitachukuliwa na hakutakuwa na malalamiko ambayo yatasikilizwa.

Hata hivyo aliendelea kwa kuwataka Wananchi kuacha tabia ya kuvamia maeneo (ardhi) ya Serikali  kiholela na pia kwa yeyote alkiyepewa Ardhi hiyo hana budi kutunza na kuilinda mipaka ya eneo lake.

Kwa upande Mwingine Mhe.Okash amewataka Wazazi kuwa Mstari wa mbele katika kuhakikisha wanalinda watoto dhidi ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia.

“Niwaombe Wazazi wenzangu tuwe mstari wa mbele katika kuhakikisha tunakuwa karibu na watoto wetu na kuwa na tabia ya kuzungumza na kuwafuatilia mienendo yao ya kila siku”.Amesema.

Nae Diwani wa Kata ya Msoga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe. Hassan Mwinyikondo amemshukuru Mkuu wa Wilaya huyo kwa ziara yake katika Kata hiyo kwani imewakumbusha kufanya kazi kwa bidi na kujua wajibu wao kama viongozi pamoja na Wananchi wa Msoga.                                                                                                                                       

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Chalinze yapongezwa kwa Hati Safi Mfululizo miaka mitano

    June 18, 2025
  • Mwenyekiti wa UWT akagua miradi ya maendeleo Chalinze

    June 13, 2025
  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.