• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkurugenzi Kiwanuka aweka mikakati ya Ukusanyaji Mapato Chalinze

Imewekwa: December 8th, 2018




Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Chalinze Bi Amina Kiwanuka ameitisha kikao kazi kwa maafisa watendaji wa kata na vijiji kwa malengo ya kuboresha mpango mkakati wa namna ya kuboresha ukusanyaji wa mapato ya halmashauri wilayani humo.


Katika kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri wakuu wa idara katika halmashauri wametoa miongozo mbalimbali ya namna ya ukusanyaji mapato na usimamizi wa sheria za utawala na sheria ndogo za halmashauri na uadilifu wa kukusanya mapato na kuziba mianya yote inayopelekea kuvuja mapato.


Kwa upande wa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Bi Amina Kiwanuka amewataka watendaji wa kata na vijiji kuwa wasimamizi wakuu wa ukusanyaji mapato kwa kuhakikisha kuwa wanawatumia mawakala walio waaminifu na waadilifu na mawakala hawa wapatikane kupitia vikao halali vya kijiji na si vinginevyo,aliendelea kufafanua kwa kuwataka watendaji wa halmashauri kwa ngazi zote kubadilika na kuenenda kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni za nchi ili wasiingie kwenye migogoro ya kiutumishi,"badilikeni serikali ya awamu ya tano ni ya kazi si ya maneno na inahitaji watendaji wenye maadili."Kiwanuka alisisitiza.


Naye Mwanasheria wa halmashauri Bi Happyphania Luena aliwataka watendaji wa vijiji na kata kuzingatia sheria taratibu na kanuni kwa kuwaelekeza wananchi kupeleka malalamiko katika vyombo sahihi kwa mujibu wa sheria kwa maana ya mabaraza ya kata na mahakama na kuwataka watendaji kutojiingiza katika utatuzi wa migogoro iliyo nje ya uwezo wao, na kama kuna kuwa na mkanganyiko wa kisheria ni vema kupata ushauri wa kisheria kutoka ofisi ya Mkurugenzi na siyo kufanya maamuzi kinyume cha sheria na baadaye kusababisha migongano katika jamii.


Afisa Tehama,Bwana Simon Ihonde aliwataka watendaji kuwa makini katika utumiaji wa mashine za ukusanyaji mapato na Mara wanapobaini zina matatizo ni vema kutoa taarifa ofisi ya Tehama kwa usaidizi na utatuzi wa tatizo na kuwataka watendaji kuitumia tovuti ya halmashauri kwa upatikanaji wa taarifa mbalimbali za halmashauri na serikali kwa ujumla.


Afisa Mipango wa wilaya,Michael Mwakanjuki alitoa ufafanuzi wa namna ya matumizi ya fedha za mapato ya ndani ya kijiji kuwa asilimia 60 ya mapato itumike kwa miradi ya maendeleo na asilimia 40 itumike kwa matumizi mengineyo,katika hili zingatieni maelekezo haya katika utekelezaji wa majukumu yenu katika taasisi zenu.





Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.