• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkuu wa mkoa wa Pwani afanya ziara na kukagua miradi ya maendeleo Halmashauri ya Chalinze

Imewekwa: February 11th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo,  leo Tarehe 11..02.2021 amefanya ziara Halmashauri ya Chalinze  nakujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwepo ujenzi wa jengo jipya la utawala na Soko na kupongeza uongozi wa Halmshauri ya Chalinze akiwemo Mbunge, Mkuu wa wilaya, Mwenyekiti na Mkurugenzi  kwa kujenga jengo la ofisi za Utawala ambalo ni la kisasa kuliko Halmashauri zote za Mkoa wa Pwani .

Mhandisi Ndikilo ameyasema hayo wakati wa ziara maalum ya kukagua jengo jipya la Halmashauri ya Chalinze ambalo tayari limeanza kutumika huku likisubiriwa kuzinduliwa rasmi wakati wowote.

Awali akikagua jengo hilo, Mhandisi Ndikilo alibainisha kuwa, Miongoni mwa Halmashauri za Mkoa wa Pwani, Chalinze wameweza kujenga jengo la kisasa la gorofa tatu.

"Niwapongeze sana Mkurugenzi, Mwenyekiti wa Halmashauri na Mbunge wa Chalinze kwa kujenga jengo hili la kisasa ambalo ni la mfano hata kwa Halmashauri zingine zinapaswa kuja kuiga kwenu" Alisema Mhandi Ndikilo.

Aidha, amepongeza ukumbi mpya na wa kisasa wa mikutano ya Halmashauri ikiwemo kuwekewa vifaa vya kisasa kama samani za ukumbi pamoja na mfumo wa matangazo (PA).

"Katika Halmashauri za mkoa wa Pwani nilizotembelea PA pamoja na samani nilizozikuta hapa zinaonekana ni zenye ubora na zenye viwanvo vya juu kuliko Halmashauri zote". Alisema Mh: Mhandisi Ndikilo.

Aidha, Mh: Mhandisi Ndikilo akihitimisha ziara yake ya kutembelea miradi ya maendeleo aliweza kutembelea ujenzi wa soko la kisasa la Bwilingu sambamba na ujenzi wa choo, ndani ya soko hilo ambalo linagharimu kiasi cha fedha zaidi  ya Milioni 400 ambazo ni fedha zitokanazo na mapato ya ndani ya Halmashauri ndani ya Halmashauri Chalinze. Soko hilo litakapo kamilika litakua na uwezo wa kuchukua wafanya biashara wasiopungua 100 kwa pamoja, aliwataka watendaji kujitahidi kuwa waaminifu kwa kutowabambikizia kodi kubwa zaidi na iliopangwa wafanyabiashara watakaopata fulsa ya kufanyia biashara katika soko hilo la kisasa.

 Mh Ndikilo katika kikao chake na watumishi wa Halmashauri na viongozi wa kisiasa walioshiriki katika ziara hiyo aliwataka waongeze bidii katika ukusanyaji wa mapato ikiwemo kubuni vyanzo vipya ili Halmashauri iwe na uwezo wa kutekeleza miradi mingi zaidi ya maendeleo ili kuwanufaisha wananchi wenye kipato cha chini.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.