• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mwenyekiti wa halmashauri ya Chalinze azindua kampeni ya chanjo ya polio

Imewekwa: September 1st, 2022

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze,Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo kwa niaba ya Mkuu wa wilaya amezindua rasmi zoezi la chanjo ya ugonjwa wa polio kiwilaya,uzinduzi huo umefanyika leo katika hospitali ya Wilaya Msoga.

Uzinduzi huo umefanywa na Mwenyekiti wa Halmashauri akiwa na wajumbe wote wa kamati ya Afya ya Msingi ya Wilaya kwa kutoa chanjo kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano.

Katika hotuba yake baada ya uzinduzi wa zoezi hilo la  chanjo Mwinyikondo aliwataka wananchi wa Chalinze katika kata zote kumi na tano (15) kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya na zahanati ili huduma hiyo muhimu kwa misingi ya kutekeleza adhima ya Serikali ya awamu ya sita chini Rais Samia Suluhu Hassan kuwanusuru watoto wote walio chini ya miaka mitano na ugonjwa hatari wa polio.

 “ Wananchi wenzangu tuunge mkono jitihada za Serikali yetu yenye nia njema na watu wake kwa kuhamasishana sisi kwa sisi kuwapeleka watoto wetu kuchanjwa ili kuwaepusha watoto wetu na ulemavu usio kuwa na sababu na hatimaye waje kuwa viongozi na watenda kazi wa taifa letu.” Mwinyikondo alisema.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze,Bwana Ramadhani Possi alitoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika awamu hii ya Tatu ya chanjo ya polio ili kuwakinga watoto wote walio chini ya miaka mitano na ugonjwa wa polio unaoweza kuwasababishia ulemavu au vifo visivyokuwa na sababu na wakati kinga ipo.

    “Kama Halmashauri tumejipanga watoto wote waliona na umri wa chini ya miaka mitano wanafikiwa na kuchanjwa na kwa awamu hii ya Tatu tumelenga kuchanja jumla ya watoto 50,877 alekwa kata zote kumi na tano (15) katika Halmashauri ya wilaya ya Chalinze na tunategemea kuvuka malengo kutokana na mikakati tuliyojiwekea ya nyumba kwa nyumba.” Possi alieleza.

Kwa upande wake Mratibu wa Chanjo wilaya Bwana Aidan Mbulinyingi alitoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi ili kuvuka malengo kama ilivyokuwa awamu ya pili ya chanjo ya polio,malengo yalikuwa ni kuchanja watoto 42,000 laki Halmashauri iliweza kuvuka malengo na kuchanja jumla ya watoto 50,877 sawa na asilimia 120.

Mbulinyingi aliwataka viongozi wa vitongoji,vijiji,kata,tarafa na ngazi ya Halmashauri kuwa wahamasishaji wakuu ili kila mtoto aliyechini ya miaka mitano anapata chanjo dhidi ya polio ili tuwe na jamii yenye siha njema.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.