• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Sayona yatoa vifaa tiba vyenye thamani ya milioni 5

Imewekwa: October 23rd, 2018




Kampuni ya uzalishaji vinywaji vya matunda ya Sayona Fruits imetoa vifaa tiba vyenye thamani ya Fedha za kitanzania Milioni 5 katika zahanati ya kijiji cha Magulumatali,ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi.


Katika hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba hivyo iliyofanyika katika kijiji cha Magulumatali jana na kushuhudiwa na viongozi wa kata ya Talawanda wakiongozwa na Diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Chalinze ,Mheshimiwa Saidi Zikatimu,vifaa hivyo vimekabidhiwa na Mwakilishi wa kampuni hiyo ambaye pia ni Afisa Uhusiano wa kampuni Bwana Abubakari Mlawa.


Katika makabidhiano hayo Afisa Uhusiano wa kampuni ya Sayona amesema utoaji wa misaada ni moja ya jukumu lao kwa mujibu wa sheria kama wawekezaji ndani ya halmashauri ya Chalinze na kuahidi kuendelea kutoa huduma kwa wanajamii. Mlawa aliendelea kufafanua kuwa kampuni yake imekuwa ikisaidia kuboresha miundombinu mbalimbali ya huduma za Jamii kama maji,Elimu,afya na barabara na kuwataka wananchi kuanzisha miradi mbalimbali kutokana na vipaumbele vyao na kampuni itakuwa ikisaidia ukamilishaji wa miradi hiyo kutoka na hali ya uzalishaji wa kiwanda na faida inayopatikana.


Kwa upande wake Diwani wa kata ya Talawanda na mwenyekiti wa halmashauri ya Chalinze Saidi Zikatimu aliishukuru kampuni ya Sayona Fruits kwa jinsi inavyounga mkono juhudi za serikali katika utoaji huduma kwa Jamii kwa kuboresha miundombinu ya huduma za Jamii na kuwataka wawekezaji wengine katika halmashauri ya Chalinze kuiga mazuri yanayofanywa na kampuni ya Sayona Fruits kwani kampuni hii imekuwa na uzalendo wa kweli katika kutekeleza majukumu yake kwa wananchi.


Hata hivyo Mwenyekiti wa kijiji cha Magulumatali, Bwana Ramadhani Biga aliishukuru kampuni ya Sayona kwa kuwajali wananchi wa Magulumatali na kusema kutokana na vifaa tiba hivyo kupatikana zahanati yetu itaanza kufanya kazi mara moja na wananchi hawataenda mbali kutafuta matibabu kama ilivyokuwa awali.





Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.