• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Waziri Mkuu afurahishwa na uwekezaji wa Viwanda Chalinze

Imewekwa: December 9th, 2018




Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa afurahishwa na uwekezaji wa viwanda katika halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani,kwa kutembelea na kukagua viwanda vikubwa viwili katika ziara aliyoifanya Jana katika halmashauri hiyo,Mheshimiwa Majaliwa ametembelea kiwanda cha kuzalisha vigae cha Twyford kilichoko katika kitongoji cha Pingo katika mamlaka ya mji mdogo wa Chalinze na kujionea shughuli za uzalishaji katika kiwanda hicho,ambacho ni kiwanda kinachozalisha vigae bora katika afrika mashariki na kinauza ndani na nje ya nchi.


Aidha Waziri Mkuu alitembelea pia kiwanda cha kutengeneza bidhaa zinazotokana na matunda cha Sayona Fruits Ltd kilichopo katika kijiji cha Mboga,kiwanda ambacho kinamilikiwa na mwenyekiti wa wamiliki wa viwanda Tanzania Subashi Patel,ni kiwanda kikubwa katika afrika mashariki chenye mitambo ya kisasa na kinachonunua matunda kwa wingi kama malighafi ya kuendesha kiwanda hicho,Mheshimiwa Majaliwa alikagua na kuona uzalishaji wa vinywaji mbalimbali na kuona jinsi watanzania wanavyonufaika na ajira kiwandani hapo.


Mheshimiwa Majaliwa katika hotuba yake kiwandani hapo alimpongeza mwekezaji wa kiwanda hicho Subashi Pateli kwa uwekezaji wenye tija unaotoa huduma za jamii,kuzalisha ajira kwa watanzania lakini pia kutoa kodi ya serikali kuu na halmashauri ya wilaya kwa maendeleo ya nchi na kuwataka wawekezaji wengine wawekeze kwa tija ili kutekeleza kwa vitendo Ilani ya Chama cha Mapinduzi kama ilivyonadiwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli." Katika kipengele cha viwanda kama kilivyotajwa kwenye Ilani kazi yetu ni kuweka vema kwani kimetekelezwa na muda wa uchaguzi utakapofika ni kuwauliza watanzania mnataka tufanye kitu gani kingine ." Waziri Mkuu alisema.


Majaliwa aliendelea kutoa wito kwa wanachalinze kulima matunda ambayo soko lake sasa linapatikana hapa kiwandani na kuwahamasisha kuleta matunda hayo kwani soko ni la uhakika na pasipo matunda uzalishaji haupo,akawataka wananchi kwa ujumla kuwalinda wawekezaji kwa udi na uvumba ili waweze kuzalisha kwa tija na kwa amani na utulivu kwani pasipo amani hakuna uzalishaji utakaofanyika hivyo aliwataka wananchi kwa ujumla kuwalinda wawekezaji popote pale nchini Tanzania ili uzalishaji ukafanyike kwa amani na wawekezaji wasikate tamaa kwa kutokuwa na amani katika maeneo waliyowekeza


Naye Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Pwani alitoa wito kwa wawekezaji wanaotaka kuja kuwekeza mkoani Pwani wanakaribishwa Pwani ni salama,mazingira ni rafiki kwa uwekezaji na amani ni ya kutosha," Tunayo ardhi ya kutosha kwa uwekezaji wa aina yoyote karibuni Pwani ya Viwanda." Ndikilo alisema.











Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.