• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Elimu msingi
      • Elimu secondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Maji na umwagiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Vijana
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Historia

UTANGULIZI

  • Halmashauri ya Chalinze ni moja kati ya Halmashauri nane za Mkoa wa Pwani. Halmashauri hii imegawanyika kutoka halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kutangazwa rasmi katika gazeti la serikali Na. 301 la mwaka 2015.Halmashauri hii imeanza kufanya kazi rasmi mwezi Julai 2016.

MIPAKA YA ENEO

  • Halmashauri ya Chalinze inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na Pangani upande wa Kaskazini zote za Mkoa wa Tanga. Upande wa Kusini inapatikana na Halmashauri ya Bagamoyo na Kibaha. Magharibi inapakana na Halmashauri ya Morogoro Vijijini na mashariki Bahari ya Hindi na sehemu ya Halmashauri ya Bagamoyo.

JIOGRAFIA NA HALI YA HEWA

  • Hali ya hewa ni ya kitropiki ya kiwango cha nyuzi joto 30 ºC ambapo kiwango cha chini ni nyuzi joto 13 ºC. Hali ya mvua ni kati ya mm 800 hadi 1200 kwa mwaka. Msimu wa mvua umegawanyika katika sehemu mbili ambazo ni mvua za vuli na masika. Mvua za vuli zinaanza kati ya mwezi Machi hadi katikati ya mwezi Mei. Majira ya kiangazi yanaanza katikati ya mwezi Mei hadi Oktoba.

UKUBWA WA ENEO

  • Eneo la Halmashauri ya Chalinze kwa nchi kavu ni km za mraba 8,042 sawa na hekta 8,042,000.
  • Jumla ya hekta 404,859 zinatumika kwa shughuli za kilimo na mifugo. Hekta 51,127 ni misitu ya hifadhi za vijiji bila kuhusisha hifadhi za Saadani na Wami yakiwemo makazi, maeneo ya Taasisi, ufugaji, biashara na uvunaji wa mawe ya Lugoba, Msolwa na Mbwewe.


                                                                                          VIONGOZI WETU KATIKA HALMASHAURI

(aWakurugenzi Watendaji

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE CSEE 2018 January 24, 2019
  • TANGAZO LA MKUTANO WA BALAZA LA MADIWANI ROBO YA NNE August 28, 2019
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA PWANI December 18, 2018
  • TANGAZO LA KUSITISHWA KWA UHAMISHO August 31, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Madiwani Yatolewa Chalinze

    December 21, 2020
  • Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Bagamoyo Yaridhia Chalinze kuwa Wilaya.

    December 19, 2020
  • Madiwani waridhia Kuanzishwa Wilaya Mpya ya Chalinze

    December 18, 2020
  • Baraza la Madiwani Chalinze Limezinduliwa

    December 18, 2020
  • Tazama zote

Video

Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akihimiza ukusanyaji Mapato kwenye mamlaka za serikali za Mitaa
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • Mfumo wa Bajeti
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2015/2016
  • WAZO LA WAZIRI
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • JINSI YA KUJISAJILI NA KUPATA NAMBA YA MLIPA KODI (TIN NAMBA)

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lugoba Chalinze

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.