• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Elimu msingi
      • Elimu secondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Maji na umwagiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Vijana
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kilimo na Ushirika

Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika inaundwa na sehemu tatu (3) ambazo ni:-

1.  Kilimo

2.  Umwagiliaji

3.  Ushirika

 Majukumu ya idara

Jukumu kuu la Idara hii ni kuhamasisha, kuboresha na kusimamia utoaji wa huduma za maendeleo ya kilimo, Umwagiliaji na Ushirika katika jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

1, usambazaji wa uuzaji wa pembejeo na zana za kilimo kutoka maduka ya watu binafsi.

2. Usimamiaji wa matumizi ya pembejeo za kilimo katika Vijiji/Mitaa/Kata.

3. Kutoa elimu/ushauri wa matumizi ya mbolea na madawa, kilimo mseto, usindikaji wa mazao,  hifadhi ya udongo na matumizi bora ya ardhi, kilimo cha umwagiliaji na uzalishaji wa mazao mbalimbali ya nafaka, uyoga, mboga, matunda, miche ya matunda, miti ya kivuli na maua kwa kuzingatia kanuni bora kwa wakulima mmoja mmoja au vikundi.

4.Kufanya tathmini kuhusu hali ya chakula  na  lishe katika Manispaa.

5. Kusimamia, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Miradi ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Projects – DADPs).

6. Kuhamasisha na kusimamia shughuli  za kilimo cha zao la korosho.

7. Kufanya maandalizi na kushiriki maonesho ya sikukuu ya wakulima Nanenane.

8.  Kuboresha vyama vya ushirika vya aina mbalimbali.

9.  Kuimarisha ushirika wa akiba na mikopo.

10.   Kutoa mafunzo na elimu kuhusu vyama vya ushirika.

11.  fedha zinazotokana na upimaji wa maji katika maabara ya Idara ya Maji na ukataji wa vibali kwa wachimbaji wa visima wanaofanya kazi ndani ya Halmashauri yetu.

12. Kupunguza na kuzuia  milipuko ya magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa maji safi na salama

13.  Kusimamia vyema miradi  

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE CSEE 2018 January 24, 2019
  • TANGAZO LA MKUTANO WA BALAZA LA MADIWANI ROBO YA NNE August 28, 2019
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA PWANI December 18, 2018
  • TANGAZO LA KUSITISHWA KWA UHAMISHO August 31, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Soko la kisasa Halmashauri ya Chalinze kuamilika Juni 2021

    April 09, 2021
  • Halmashauri ya Wilaya Chalinze yafanya Dua kumuombea Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

    April 07, 2021
  • Watendaji simamieni majukumu yenu na kufanya maamuzi kwa mujibu wa kanuni, sheria na taratibu

    March 16, 2021
  • Kilio cha wananchi wa Kaloleni Chaigusa kamati ya Bunge ya utawala na serikali za mitaa

    March 13, 2021
  • Tazama zote

Video

Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akihimiza ukusanyaji Mapato kwenye mamlaka za serikali za Mitaa
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • Mfumo wa Bajeti
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2015/2016
  • WAZO LA WAZIRI
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • JINSI YA KUJISAJILI NA KUPATA NAMBA YA MLIPA KODI (TIN NAMBA)

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lugoba Chalinze

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.