• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Baraza la Madiwani la kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa miradi katani lafanyika

Imewekwa: August 11th, 2022


Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze hii leo imefanya kikao cha Baraza la Kata la Robo ya nne kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 kikiwa na lengo la kupokea taarifa mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya Maendeleo iliyofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

Akizungumza kwenye kikao hicho mara baada ya uwasilishwaji wa taarifa mbalimbali kutoka kwa Waheshimiwa madiwani, Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe. Hassan Mwinyikondo amewapongeza Waheshimiwa madiwani kwa kufanya kikao hicho kuwa kifupi lakini chenye manufaa makubwa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

Aidha Mhe. Mwinyikondo ametoa shukrani kwa Waheshimiwa Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Chalinze kwa kusimamia vyema vyanzo vya mapato mpaka kupelekea kuwa Halmashauri ya Pili kwa kupeleka fedha za miradi ya Maendeleo kwa asilimia 62 badala ya asilimia 60 zilizopangwa.

“Niwashukuru waheshimiwa Madiwani na Watendaji kwa kufanya Halmashauri yetu kuwa ya pili kwa kupeleka fedha za miradi ya Maendeleo kwani inadhihirisha kuwa tumesimamia bajeti yetu vizuri kama ilivyopangwa kwani hakuna mradi ambao umepangwa na haukutekelezwa”. Amesema Mhe. Mwinyikondo.

Hata hivyo Mhe.Mwinyikondo amesema kuwa mafanikio yanayopatikana Chalinze yamepatika kwasababu ya ushirikiano unaoneshwa baina yao ,Watendaji na Wabunge wa Chalinze kwani wanatoa msaada mkubwa sana katika kuipa maendeleo Chalinze.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg. Ramadhani Possi amesema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imejipanga vizuri kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 kwani imepanga Bajeti ya Tsh. Bilioni 13.6 ikiwa ni ongezeko ukilinganisha na ile iliyopangwa kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 ya Tsh.Bilioni 10.7.

“Halmashauri yetu imejipanga vizuri kwa bajeti ikiwa kwa mwaka huu wa fedha wa 2022/2023 tumepanga Bajeti ya Tsh.Bilioni 13.6 ambapo tumejipanga kuongeza vyanzo vya mapato pamoja na kuimarisha vyanzo vilivyopo hasa kwenye ushuru wa madini(madini ujenzi)”. Mkurugenzi alisema.

Vilevile Ndg. Possi amewashukuru Waheshimiwa Madiwani kwa kuwaongoza na kuhimiza upelekaji wa fedha kwenye miradi ya maendeleo kama vile soko,kukamilisha jengo la Halmashauri,kituo cha mabasi pamoja na kusaidia Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hali iliyopelekea wao kufanya vizuri

Aidha kwaniaba ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Bagamoyo Ndugu Yusuf Ramadhani Abdallah Amewaasa Waheshimiwa madiwani pamoja na Watendaji kuendeleza ushirikiano.

Niwaombe tu Waheshiiwa madiwani,viongozi pamoja na watendaji kuendeleza ushirkiano baina yenu ili kuongeza zaidi asilimia mliyofika na kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi tumefarijika sana na naamini sasa nasisi kuna watakaokuja kujifunza”. Katibu wa Chama alisema

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.