• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Bilioni 54.7 Kuidhinishwa na Baraza la Madiwani Chalinze

Imewekwa: February 16th, 2024

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Chalinze limepitisha Makisio ya Bajeti ya shilingi 54,682,456,619 Bilioni kwa ajili ya mwaka wa fedha 2024/2025.


Bajeti hiyo ni ongezeko la asilimia 4.07 ukilinganisha na ya mwaka wa fedha 2023/24 ambayo ilipitishwa na inaendelea kutekelezwa ambayo ni sh. 52,545,284 Bilioni .


Akizungumza baada ya kuwasilisha kwa Bajeti hiyo Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Halima Okash amesema wataalam wa Halmashauri hiyo wanatakiwa kusimamia Bajeti inayopitishwa iliikatekeleze yaliyoahidiwa kwa wananchi na kuondoa kero zilizopo.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Hassani Mwinyikondo amesema Madiwani watatoa ushirikiano katika utekelezaji wa Bajeti hiyo kwenye miradi ya maendeleo.


Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Ramadani Possi alisema katika mapato ya ndani matumizi yake yameelekezwa zaidi kutatua Changamoto ambazo zimejitokeza .


Possi amesema sh. Milioni 59.2 zimetengwa kwa ajili ya kupelekwa kwenye uendeshaji wa ofisi za Vijiji, huku Halmashauri  ikitenga sh. 1.2 Bilion kwa ajili Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) kuboresha barabara za Vijijini ikiwa ni uwekaji wa taa, ununuzi wa greda na uchongaji wa Barabara.


Katika Mwaka wa fedha 2024/25 Halmashauri hiyo imefanya marekebisho kadhaa katika upande wa Makisio ya vyanzo vya ndani kwa kuongeza makisio ya mapato ya ndani kutoka sh. 15.6 Bilioni hadi kufikia sh.17.3 ongezeko hilo ambalo ni  asilimia 10.82 ya sh.1.6 Bilioni .


Akiwasilisha taarifa ya Makisio ya Mpango wa Bajeti hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze Ramadhani Possi, Afisa Mipango Ismail Bilali amesema ongezeko hilo limetokana na chanzo kipya cha matofali.


Bilali ameeleza vyanzo vingine vilivyoongezeka kuwa ni pamoja na ushuru wa mabango, Kodi ya ardhi, Kodi ya majengo pamoja na kuongezeka kwa mapato ya baadhi ya vyanzo kama ushuru wa madini, ushuri wa huduma, ushuri wa mihogo, mauzo ya viwanja na mapato ya yanayotokana na sekta ya afya.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.