• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC Kawawa aelimisha wananchi dhidi ya Mapambano ya Corona

Imewekwa: April 21st, 2020


Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mheshimiwa Zainabu Rashidi Kawawa amewataka wananchi wa halmashauri ya Chalinze kuzingatia maelekezo yanayotolewa na wizara ya Afya dhidi ya Mapambano ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona yaani COVID-19.


Mheshimiwa Kawawa ametoa maagizo hayo jana katika ziara yake aliyoifanya na timu ya Mapambano dhidi ya homa kali ya mapafu ya halmashauri ya Chalinze Katika Vijiji vya Lugoba,Msata,Kiwangwa na Mji Mdogo wa Chalinze. Kawawa alitoa tahadhari kwa wananchi hao kwa kueleza hali halisi ya gonjwa hili la COVID-19 lilivyoikumba Dunia,ikiwemo Tanzania na mikoa yake.


Mkuu wa wilaya aliwaeleza wanachalinze hali halisi ya tatizo hili kwa kuwajuza kuwa hata Mkoa wa Pwani kuna wagonjwa wa Corona,hivyo tuna kila Sababu ya kuchukua tahadhari za kujikinga na huu ugonjwa. Katika mazungumzo yake aliwataka wananchi kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima na safari zisizo na ulazima ili kulinda Afya zetu na familia zetu


Aidha aliwataka wananchi kutumia Balakoa kama kinga dhidi ya maambukizi ya Corona na kutumia vitakasa mikono na maji yanayotililika kunawa mikono muda wote,pia alitumia muda kutoa onyo kwa wafanyabiashara watakaopandisha bei kwa vitendea vinavyotumika katika Mapambano dhidi ya homa kali ya mapafu."Ole wao watakao pandisha holela bei ya vifaa vinavyotumika katika Mapambano dhidi ya homa kali ya mapafu kama ndoo,sabuni,vitakasa mikono,hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao,ikiwa ni pamoja na kufungiwa biashara zao." Kawawa alisema.


Kwa upande wake Mganga Mkuu wa wilaya Dkt Kyungu alitoa rai kwa wananchi kutoa taarifa mara moja endapo wataona mtu yeyote mwenye dalili za ugonjwa wa Corona bila kuchelewa kwa hatua zaidi,na kuwataka wananchi kufuata kanuni na miongozo iliyotolewa na wizara ya Afya dhidi ya Mapambano ya homa kali ya mapafu yaani COVID-19.


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chalinze Bi Amina Kiwanuka alitoa maelekezo kwa watendaji wa halmashauri kuanzia ngazi ya Kijiji hadi wilaya kuelimisha wananchi namna ya kupambana na Corona sanjari na kuwataka wananchi wa Chalinze kula vyakula vya vitamini"C" ili kuimarisha kinga za miili kana njia mbadala ya kupambana na Corona."Tutumie vyakula vya vitamini C na mboga za majani,kwani hivi vyote vinapatikana Katika Mazingira yetu ili kupambana na janga hili. Mkurugenzi alisisitiza.

.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.