• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Elimu ya lishe bora kwa vitendo yafika kata ya Kimange

Imewekwa: October 19th, 2022


Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kupitia Idara ya afya kitengo cha lishe bora imeendelea na kampeni yake ya kutoa elimu ya uaandaji na matumizi ya lishe bora kwa kundi la kina mama wenye watoto chini ya miaka 5 na wajawazito katika zahanati ya Kimange kata ya Kimange ikiwa ni moja ya sehemu ya kuimarisha afya bora kwa wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze na kutokomeza magonjwa ya utapiamlo pamoja na udumavu kwa watoto.

Akizungumza kwa niaba ya Mganga Mkuu wa wilaya, Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Bi. Gabriela Mtwale ameelezea dhumuni la kutoa elimu hiyo ni kuwaelimisha akina mama juu ya umuhimu wa lishe bora kwa watoto na namna ya kuandaa lishe hiyo na  kuacha tabia ya mazoea.

“tumekuja kuwaelekeza kina mama jinsi ya kuandaa chakula cha watoto hasa uji wa lishe kwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika maeneo yetu,na kikubwa tumewaletea elimu ya jinsi ya kuandaa chakula lishe na kuacha kuandaa kwa mazoea kwani kina mama wote huandaa uji wa sembe na kuweka chunvi tu hali inayosababisha watoto kupata utapiamlo. hivyo basi tumekuja kuwaelekeza namna ya kuandaa na kuboresha lishe kwa watoto kwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika mazingira wanayoishi ambavyo vinazingatia makundi matano muhimu ya vyakula yanayohitajika mwilini hasa kwa watoto na mama wajawazito kwa lengo la kutokomeza magonjwa ya utapiamlo na udumavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze”.amesema Bi. Gabriela.

Nae mratibu wa Afya ya uzazi na Mtoto Bi Beatha Mchopa ameelezea dhamira yao ya kufika katika Zahanati ya kimange ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya lishe pamoja na kuzungumza na mama wajawazito na wenye watoto chini ya miaka miatano

Leo tumekuja katika Zahanati hii kwaajili ya kuongea na mama wajawazito pamoja na wale wenye watoto chini ya miaka mitano na kutoa elimu ya lishe,pia wao kujua umuhimu wa kuwahi kufika kliniki kwa mahudhurio yasiyopungua nane,umuhimu wa kuwahi kufika kwenye vituo vya kutolea huduma mara tu wanapohisi uchungu,umuhimu wa kunywa dawa za madini chuma kabla ya kubeba ujauzito na baada,umuhimu wa kupeleka watoto kupata chanjo na pia ushiriki wa kina baba wakati wa ujauzito”Amesema Bi. Mchopa.

Elimu hii ya utoaji wa elimu hii ya lishe bora kwa watoto chini ya miaka 5 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imelenga kuzifikia kata zote 15 katika vituo vya afya na zahanati ili kuweza kutokomeza kabisa magonjwa ya utapiamlo ifikapo mwaka 2025 na kuimarisha hali ya lishe bora kwa watoto.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.