• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira yafanya ziara Talawanda

Imewekwa: October 3rd, 2019

Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Hassan Rajabu Mwinyikondo pamoja na wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imefanya ziara kwaajili ya kutembelea miradi mbalimbali ya ujenzi siku ya Jumatano ya tarehe 02/10/2019 katika Kata ya Talawanda ukiwemo mradi wa ujenzi wa ofisi ya kata .

Kamati imeridhishwa na ujenzi wa ofisi hiyo kwa kufikia hatua nzuri na kupelekea  Mwenyekiti wa kamati hiyo kutoa pongezi kwa usimamizi mzuri mpaka kufikia hatua inayoridhisha.

‘’Nawapongeza wasimamizi wa jengo hili kwa kufanikiwa kusimamia vyema ujenzi wa ofisi hii kwani kwa kufanya hivyo jengo hili litakapokamilika ni faida kwa wana Talawanda na Serikali kwa ujumla katika utoaji wa huduma bora za kiofisi  kwa jamii.’’ Alisema ndugu Mwinyikondo.

Ndugu Mwinyikondo aliendelea kwa kuwasihi wasimamizi waendelee na kazi nzuri ya kusimamai jengo hilo mpaka litakapokamilika kwani kamati itawaongezea fedha kwaajili ya ukamilishaji wa jengo hilo na kuuomba Uongozi wa kata hiyo kushirikiana vyema na kuwahamasisha wadau wa maendeleo katika kushiriki ujenzi wa Jengo hilo.

Naye Afisa Mtendaji kata wa Talawanda ndugu Hassan Mkomwa akamshukuru ndugu Mwenyekiti na kamati yake kwa kutembelea mradi wa ujenzi huo na kujionea maendeleo yaliyofikiwa na kutoa taarifa fupi ya ujenzi huo.

‘’Tunakushukuru ndugu Mwenyekiti na kamati yako kwa kufika mahali hapa na kujionea maendeleo ya ujenzi ,kama unavyoona hatua tuliyofikia tumetumia kiasi cha Tsh Milioni 33 kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza tumepatiwa kiasi cha Tsh Milioni 25 na awamu ya pili ni Tsh. Milioni 8.’’Alisema ndugu Mkomwa.

Hata hivyo Kamati imeahidi kuongeza kiasi cha Tsh. Milioni 15 katika ujenzi wa ofisi hiyo zitakazojumuishwa na nguvu ya wananchi kupitia wadau wa maendeleo ili kufanikisha umaliziaji wa jengo hilo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.