• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Kunenge afanya ziara Chalinze.

Imewekwa: September 22nd, 2021


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge leo hii amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze ambapo ametembelea jumla ya kata tatu ikiwemo kata ya Vigwaza, Kata ya Bwilingu na kata ya Msoga.

Katika ziara hiyo Mhe. Mkuu wa Mkoa alizungumza na wananchi na kusikiliza kero zao  mbalimbali, baadhi ya kero hizo ni pamoja na migogoro ya ardhi ,migogoro ya wafugaji na wakulima, kero za maji na umeme, ambapo baadhi ya kero zilipatiwa majawabu na wataalamu walioambatana na mkuu wa Mkoa huyo na baadhi ya kero nyingine zilijibiwa na Mkuu wa Mkoa mwenyewe  ambapo alisema

“ Kwenye suala la migogoro ya ardhi  tumeanza  na kampeni ya tokomeza migogoro ya ardhi kwa kuanzia tunaanza na kutengeneza jopo la wataalamu na kuanzishwa kwa mabaraza mapya ya  ardhi ya kila Wilaya watakaoshughulikia masuala ya migogoro ya ardhi ndani ya Mkoa wetu wa Pwani ambapo hiyo itasaidia kupunguza migogoro hiyo na kuifanya kuwa historia ndani ya mkoa wetu”.  Alisema Mhe. Kunenge.

Hata hivyo Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhe. Kunenge aliongezea kwa kuwahimiza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kuendelea kujikinga na ugonjwa wa UVIKO-19 ambapo aliwaomba kujitokeza kwa hiari kupata chanzo ya ugonjwa huo

“ Niwaombe ndugu zangu wa Chalinze kuendelea kuchukua tahadhari na kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO-19 kwa kunawa na maji tiririka, kutumia vitakasa mikono, kula chakula bora na kufanya mazoezi pamoja na kujitokeza kwa hiari kupata chanzo ya UVIKO-19 ambayo Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alihakikisha wananchi wake tunapata chanjo hiyo bila malipo”. Alisema Mhe. Kunenge.

Ziara hiyo ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani ina lengo la kuzungumza na kusikiliza kero za wananchi na wawekezaji wa kata zote hizo ili kuzitatua pia kutembelea na kukagua miradi mbalimbali na kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi ya walimu katika shule ya sekondari Vigwaza iliyopo Halmashauri ya Chalinze.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.