• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mwenge wa Uhuru waingia Rasmi Mkoani Pwani katika Halmashauri ya Chalinze

Imewekwa: April 29th, 2024

MWENGE wa Uhuru 2024 umepokelewa leo katika mkoa wa Pwani ukitokea Mkoa wa Morogoro.


Akipokea Mwenge huo wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amesema utakimbikimbizwa km 1,225.3 ambapo utakagua, utazindua na kuweka mawe ya Msingi katika miradi 126 yenyewe thamani ya zaiidi ya sh trillion nane. 


Makabidhiano hayo ambayo yamefanyika katika eneo la Bwawani kata ya Ubena Halmashauri ya Chalinze Wilaya ya Bagamoyo, yamehushuriwa na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Pwani akiwemo mke wa Rais Mstaafu awamu ya nne Mama Salma Kikwete.


Akizungumza katika mapokeai ya Mwenge wa Uhuru  Kunenge amesema thamani ya miradi ya mwaka huu ni zaidi ya miradi ya mwaka  2023 ambayo ilikuwa na thamani ya sh. Trillion 4.4.


Amesema miradi 18 itawekwa mawe ya Msingi, 22 itakaguliwa na 16 itazinduliwa na kwamba Mafanikio ya uwepo wa miradi hiyo yametokana na uwekezaji na fedha zilizotolewa na Serikali.


Kunenge amesema Mkoa huo katika adhma yake ya kutunza mazingira umelenga kupanda miti miln 13.5 hadi kufikia mwezi June 2024 katika kipindi cha mwaka 2013/2024 na hadi sasa miti Miln 8,884,935 imepandwa.


Wakati huo huo, Kunenge alimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Halima Okash ambapo utakimbizwa katika halmashauri mbili Chalinze na Bagamoyo.


 Okash baada ya kukabidhiwa alisema Mwenge huo katika Halmashauri hizo utapita katika miradi 29 yenye thamani ya sh. Biln 15.2.


Katika halmashauri ya Chalinze Mwenge umezindua barabara na ujenzi wa daraja  Kwamela -Lukwambe uliogharimu milioni 365.975 ,upande wa daraja milioni 190.205 katika mwaka wa fedha 2022/2023 TARURA Bagamoyo kupitia fedha za mfuko wa jimbo.


Miradi mingine ujenzi wa shule ya awali na msingi ya Ridhiwani Kikwete, mradi uliotekelezwa kwa kutumia ujenzi ambao ulitokana na shule ya awali na msingi Bwilingu A kuwa na msongamano wa wanafunzi na hivyo kuanzishwa shule nyingine..


MWENGE wa Uhuru pia  umeweka jiwe la Msingi  mradi tanki la maji Bwilingu,  mradi wa redio katika kituo cha redio Chalinze FM 97.5 ,kukagua mradi wa huduma ya kijamii duka la dawa kwenye kituo cha afya Bwilingu na kuweka jiwe la msingi mradi wa afya kwa waraibu wa dawa za kulevya kituo cha afya Chalinze.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.