• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Ujenzi wa ofisi ya halmashauri ya Chalinze kugharimu bilioni 1.8 awamu ya kwanza

Imewekwa: April 20th, 2018

Wakala wa majengo Tanzania(TBA)wameanza maandalizi ya ujenzi wa ofisi ya Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa kufika katika eneo ambalo ofisi hiyo inatarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni.Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ,Bwana Edes Lukoa  alifafanua namna jinsi ujenzi huo utakavyoanza alipokuwa akizungumza na wawakilishi wa TBA na mshauri mwelekezaji ofisini kwake leo mchana.

Lukoa alianza kwa kueleza kuwa halmashauri imeingia mkataba na wakala wa majengo nchini mwezi Machi mwaka huu ili wajenge jengo la ofisi ya halmashauri,jengo ambalo litakuwa la ghorofa tatu,mawanda ya kazi hii(scopes of work)yatakuwa katika awamu tatu,awamu ya kwanza itagharimu fedha za kitanzania bilioni 1.8  na itachukuwa muda wa miezi sita kukamilika baada ya hapo hatua ya pili itafuata.

Aidha Lukoa aliwataka wakala wa majengo nchini kuzingatia mkataba na mawanda ya kazi yalivyo ili kukamilisha kazi ndani ya wakati na bila kuathiri ubora wa kazi kwa mujibu wa mkataba na kumtaka mshauri mwelekezi wa halmashauri kufanya kazi bega kwa bega na mkandarasi na kushauri kila hatua kama yalivyo makubaliano kwa mujibu wa mkataba

Kwa upande wake Msanifu majengo na mwakilishi wa TBA Bwana Juma Mohamed alimhakikishia mkurugenzi wa halmashauri kuwa wakala wa majengo wako tayari kwa kazi na kazi itaanza mara moja na itafanyika kwa ubora wa hali ya juu”Tutaifanya kazi hii kwa ubora wa hali ya juu na kuzingatia mawanda ya kazi kama yalivyoainishwa katika mkataba na kuzingatia ushauri wa Mshauri mwelekezi”.Mohamed alisema.Aliendelea kufafanua kuwa kwa kuwa eneo la ujenzi linatakiwa lifanyiwe utaratibu wa vibali vya ujenzi na ofisi ya mkurugenzi ili kusiwe na vikwazo vya kisheria katika ujenzi huu .

Naye Mshauri Mwelekezi wa halmashauri,Greyson Kanyaburugu aliishauri menejimenti ya halmashauri kukamilisha nyaraka zote muhimu katika mchakato wa ujenzi wa ofisi ili kazi itakapoanza iendelee pasipo kipingamizi chochote na akasisitiza kufanya kazi hatua kwa hatua na mkandarasi wa jengo kwa kuzingatia ubora unaotakiwa.



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.