• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Wananchi wa Chalinze kunufaika na ujenzi wa bwawa la maji Chamakweza

Imewekwa: February 24th, 2021

Naibu Waziri  wa Mifugo na uvui Mh:Pauline Gekul leo Tarehe 24.02.2021 amefanya ziara ya kikazi kwa kutembelea Maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Chalinze ikiwemo Kijiji cha kitonga, Mnada wa ruvu darajani na Kijiji cha Chamakweza na kufanya ukaguzi wa ujenzi wa Bwawa la Maji katika kijiji hicho

 Zaidi Shilingi za kitanzania Mil 671.4 zimetolewa na wizara ya mifugo na uvuvi ili kutekeleza mradi huo ambao baada ya kukamilika utawanufaisha wananchi wa Chalinze hususani jamii ya wafugaji iliopo katika kijiji cha Chamakweza. Mradi huu ulitakiwa kukamilika tarehe 28.02.2021 na mkandarasi anaetekeleza mradi akaomba muda wa wiki mbili hadi tarehe 10.03.2021 ili kumalizia sehemu ya asilimia iliobako

Aidha Mh: Naibu waziri alitoa salam za shukrani kutoka kwa Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani Mh. Dr John Pombe Magufuri kwa wananchi wa Chalinze alisema ‘Serikali imejipanga kuhakikisha wafugaji na wavuvi na wanannchi kwa ujumla wananufaika na mapato yatokanayo na kodi zinazotolewa na watanzania kitu kilichopelekea watenge bajeti ya zaidi ya Mil 600 kwa ajiri ya ujenzi wa bwawa hilo la maji kwa matumizi ya kawaida na kunyweshea mifugo chamakweza’

Alimtaka mkandarasi kufanya kazi kwa ufanisi na kuzingatia muda aliopangiwa ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. “Mlitakiwa kukamilisha tarehe 28.02.2021 na mmeomba muda wa ziada wa wiki mbili kukamilisha mradi hakikisheni mnaongeza kasi kwani tutaendelea kufanya ufuatiliaji ili kujiridhisha  utendaji wenu wa kazi na tutakapo kuja hapa tarehe 10.03.2021 tukute mradi umekamilika na wananchi waanze kunufaika na bwawa hili” Alisema Mh. Pauline

Akihitimisha katika ziara yake ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Bwawa hilo Mh. Pauline alimtaka mkandarasa kuongeza idadi ya Birika za kunyweshea mifugo pasipo kuadhiri ubora wa Bwawa ilikusaidia mifugo kutogombania sehemu ya kunywea maji kitu ambacho kinaweza pelekea kifo kwa baadhi ya mifugo kwa kukanyagana.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.